Jamii imehimizwa kuachana na imani potofu zinazowanyima watoto wenye mahitaji maalum fursa ya elimu, huku ikisisitizwa kuwa kila mtoto ana uwezo wa kujifunza endapo atapatiwa msaada unaostahili.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, amesema kuwa serikali imeboresha miundombinu na mazingira ya kujifunzia ili kuhakikisha hakuna mtoto anayeachwa nyuma.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *