Kumbe Juma ni kijana wa Katanga…Mama Mwamvita haelewi kabisa mambo ya binti yake kuwa pembeni ya utajiri wa mume wake. Zora kawaonesha akili kubwa akishirikiana na Sanga. Usikose kutazama #ZoraSeries ndani ya #SinemaZetuHD pekee.
(Feed generated with FetchRSS)