Iran hatarini kushiriki Kombe la Dunia 2026, FIFA yatoa tamko NCHI ya Iran huenda ikajiondoa kwenye mashindano ya Kombe la Dunia 2026 kufuatia mashambulizi ya anga ya Marekani yaliyomuua kiongozi mkuu wa nchi hiyo, Ayatollah Ali Khamenei. Post navigation Ahmed Ally ashtukia jambo uwanja wa New Amaan Complex usiku huu kuelekea Dabi ya Kariakoo kesho Dabi ya Kariakoo: Hali ilivyo nje ya Uwanja wa New Aman