Kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi mtukufu wa Ramadhani waisalamu uhadhimisha siku ya QUDS kwa kupaza sauti ulimwenguni juu ya matendo ya ukandamizaji ,Unyonyaji na mambo yote mabaya yanayominya Uhuru na utu wa Binadamu
Akizungumza Jijini Dar es salaam wakati wa maadhimisho ya siku hii ya Quds Shekhe Mkuu wa Jumuiya ya waislamu wa shia ithna’ashariyyah Tanzania Hemed Jalala amewataka waislamu wote na wanaulimwengu kuacha matendo ya dhuruma na umwagaji Damu.
(Feed generated with FetchRSS)