Vene jamani bado nyota inang’ara kwake…Cholo anaweweseka baada ya kusikia hivyo. Mwamini hataki kabisa kumsikia mama yake. Usikose kutazama #KombolelaSeries kuanzia saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD chaneli namba 106 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV pekee.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *