#KUMBUKIZI: Leo ni Machi 17, 2026 imetimia miaka 5 tangu kuondoka kwa aliyekuwa Rais wa Awamu ya tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.

Kwenye video hii, tunakumbuka ziara yake mkoani Iringa ambapo alikutana na kijana mwenye kipaji, aliyekuwa akiigiza kwa ufasaha namna Magufuli alivyokuwa akitekeleza majukumu yake. Ni kielelezo tosha kuwa aligusa mioyo ya watu wa rika zote.

Alama alizoziacha katika miradi ya kimkakati, nidhamu ya kazi, na uzalendo zitaendelea kuishi vizazi na vizazi.

Tuambie kwenye comment; ni jambo gani moja ambalo hutolishahau kutoka kwake? Unamuenzi vipi Hayati JPM? šŸ‘‡šŸ¾

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *