Hatimaye serikali imekamilisha mradi wa maji ulio na urefu wa mtandao wa kilomita 60 kutoka Darakuta Minjingu ambao umegharimu takribani shilingi bilioni 16 ukitarajiwa kunufaisha wananchi elfu 35000 wa kata za Nkaiti, Mwada, Magugu na Kisangaji na kuondoa kero ya tangu miaka 1980 ya wananchi hao hususani wa kata ya Nkaiti kukosa huduma ya maji safi na salama na kulazimika kutumia maji ya kwenye mabwawa.

#kilichoborakabisa

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *