#MICHEZO: Baada ya Shirikisho la Soka Afrika CAf kuwavua ubingwa wa AFCON 2025 Senegal na kuwapa Morocco, huku Senegal wakisema wanaenda kukata rufaa CAS hatimaye Jaji wa Mahakama ya Usuluhishi Michezoni (CAS) Wakili Msomi Peter Mshikilwa, amesema bado kuna walakini kwenye kanuni za CAF.
“Kwa maoni yangu binafsi, timu yoyote ambayo itakuwa imejiondoa kwenye mashindano au haijaripoti kwenye mechi, au imegoma kucheza na kuondoka kwenye uwanja itakuwa imevunja kanuni ya 82, sasa kanuni ya 84 yenyewe inatoa adhabu, inatoa faini lakini vilevile inatoa ushindi kwa timu husika.”
KUMSIKILIZA KWA KIREFU INGIA YOUTUBE YETU #ITVTANZANIA
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.