Kiwango cha mamlaka za maji ambazo utendaji wake hauridhishi kimeongezeka kutoka asilimia mbili hadi nne kwa kipindi cha mwaka 2024/2025.
Hayo yamebainishwa katika ripoti ya utendaji wa Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira kwa mwaka 2024/2025, iliyozinduliwa leo mkoani Morogoro.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)