#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Njombe, limewakamata wahamiaji haramu watatu raia wa Ethiopia, ambao wameingia nchini bila kibali katika Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoani humo, ACP Mahamoud Banga, amesema tayari watuhumiwa hao wameshakabidhiwa katika Jeshi la Uhamiaji mkoani humo, ili hatua za kuwafikisha Mahakamani ziweze kufanyika ili waweze kujibu shitaka linalowakabili.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTan