#HABARI: Kanisa Katoliki nchini Kenya, limewakosoa vikali Rais William Ruto na viongozi wa upinzani wakiongozwa na aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua, kwa kueneza cheche za matusi hadharani. Usemi huo unajiri wakati Ruto na Gachagua wakiendeleza cheche za maneno dhidi yao.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania