Katika sherehe ya Eid al-Fitr, mavazi huwa sehemu muhimu ya kuonesha furaha na heshima ya siku hii tukufu.

Miongoni mwa mavazi yanayoonekana zaidi kwa wanaume ni kanzu, vazi refu lenye historia ndefu katika jamii. Kwa wengi, kuvaa kanzu si suala la mitindo pekee, bali ni ishara ya heshima, usafi na staha.

Ili kupata ufafanuzi zaidi kuhusu asili ya vazi hili, tumemtafuta Qadhi wa Mkoa wa Arusha, Sheikh Rajabu Hassan Kiungiza.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *