Mkuu wa Wilaya ya Korogwe WILLIAM MWAKILEMA ameunda timu maalum ya kufanya tathmini ya kina juu ya athari za mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia Machi 23 na kusababisha Maafa ya kusombwa kwa bidhaa za wafanyabiashara kwenye soko la Manundu lililopo Halmashauri ya mji wa Korogwe.
(Feed generated with FetchRSS)