Wafugaji wa wanyama wa nyumbani wakiwemo ng’ombe, mbuzi na punda mkoani Kilimanjaro wanatarajiwa kuongeza vipato vyao baada ya kufunguliwa kwa kiwanda cha kuchakata ngozi na kuzalisha bidhaa vikiwemo viatu na mikoba.
Enos Masanja ametembelea kiwanda hicho na kuandaa taarifa ifuatayo.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)