Timu ya Dar City imeendelea kung’ara kwenye Ligi ya Kikapu Afrika inayoendelea nchini Afrika Kusini kwa kushinda mchezo wake wa pili mfululizo, safari hii ikiwa ni zamu ya Nairobi City Thunder waliokula kichapo cha pointi 90-85.
Omary Suleiman anakuja na taarifa kamili, ikiwemo inayohusu mashindano ya Yanga Soccer School ambayo kesho itakuwa ni fainali kati ya Fountain Gate Academy vs TDS…
…pia ipo taarifa kuhusu hamasa inayofanywa na timu ya masoko ya Azam FC kuelekea #MzizimaDerby dhid ya Simba SC, Aprili 5.
✍️ @amosimasokotz
#BAL #DarCity #NBC #Basketball
(Feed generated with FetchRSS)