#HABARI: Bunge la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetoa heshima kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, William Lukuvi, kufuatia kifo chake.
Taarifa hiyo imesomwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Spika, Daniel Sillo, ambaye amewaongoza Wabunge kusimama kwa dakika moja kumkumbuka na kumuombea marehemu apumzike kwa amani.
Hatua hiyo ni sehemu ya utaratibu wa kawaida wa Bunge kutoa heshima kwa Wabunge waliotangulia mbele za haki, ikiwa ni kutambua mchango wao katika utumishi wa umma na maendeleo ya taifa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
(Feed generated with FetchRSS)