Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amewahimiza wafanyabiashara na wananchi kwa Jumla kuendelea na shughuli zao za kila siku bila kuhofia kauli za vitisho ambazo zimekuwa zikisambazwa kupitia mitandao ya kijamii.
Waziri Katambi ameyasema hayo wakati alipokuwa akizungumza na wafanyabiashara wadogo na madereva wa pikipiki jijini Dar es Salaam.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)