Baadhi wa wamachinga walioondolewa katika mitaa mbalimbali inayoingia katika soko kuu la karikaoo Jijini Dar es salaam wameushukuru uongozi wao kwa kuwatafutia maeneo mengine katika mitaa ambayo inaendelea na biashara baada ya kukaa bila kufanya biashara karibu miezi miwili sasa.

#kilichoborakabisa

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *