Serikali imetoa zaidi ya shilingi Milioni 400 kwaajili ya ujenzi wa madaraja mawili ,katika eneo linalounganisha kata ya makoko na Buhare katika manispaa ya Musoma mkoani Mara, kufutia eneo hilo kutopitika kwa urahisi nyakati za mvua ,hali iliyokuwa inepelekea kukatika mawasiliano baina ya maeneo hayo.
(Feed generated with FetchRSS)