Mechi za leo katika LALIGA
Real Madrid wapo ugenini dhidi ya Real Mallorca. mechi hii itapigwa kuanzia saa 11:15 jioni.
Saa 4:00 usiku, Atletico watakuwa nyumbani wakiwakaribisha FC Barcelona.
Michezo hii kuruka mbashara kupitia AzamSports4HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama LALIGA mwezi mzima.
@laliga

(Feed generated with FetchRSS)