MZIZIMA DERBY: “Kweli kumuona Feisal kwa 15000 Sikukuu ya Pasaka”?
Afisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe amewakaribisha mashabiki wa Simba SC na wapenda soka kwa ujumla katika dimba la Azam Complex, huku akiongeza kuwa wajisikie wapo nyumbani.
Ibwe anasema vingilio vilivyowekwa vimemzingatia kila shabiki akiwashangaa wanaolalamika na kuzungumzia ukubwa wa mechi hiyo.
Mechi ni leo saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
(Imeandaliwa na @allymufti_tz)
#MzizimaDerby #AzamFC #SimbaSC
(Feed generated with FetchRSS)