MZIZIMA DERBY: ”…Tunazitaka tena”, Meneja Mauzo na Masoko wa Azam FC, Ayubu Shelukindo akiwahamasisha mashabiki wa soka nchini kuungana na klabu hiyo katika shughuli ya uchangiaji damu wa hiyari ili kuokoa maisha ya wengine.

Hatua hiyo ni mwendelezo wa hamasa kuelekea Mzizima Derby kati ya Azam FC vs Simba SC, mchezo utakaopigwa kesho katika Dimba la Azam Complex.

Imeandaliwa na @rajjmsangi

#MzizimaDerby #AzamFc

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *