MZIZIMA DERBY: ”Simba walikuwa bora mwanzo kutuzidi”, Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge akizungumzia dakika 90 za mchezo uliomalizika dhidi ya Simba SC katika Dimba la Azam Complex.

Amesema licha ya kuzidiwa katika dakika 45 za kwanza, kikosi chake kilionesha ubora zaidi kipindi cha pili huku akiongeza kuwa umekuwa mchezo mzuri kati ya timu zote mbili.

Kwa upande wake Kocha wa Simba, Steve Backer, ameeleza kuwa kikosi chake kimeonesha ubora kwenye mchezo wa leo ingawa hawajafanikiwa kupata ushindi.

Imeandaliwa na @rajjmsangi

#MzizimaDerby

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *