VIWANJANI: “…kila unapotamani kufanya vizuri ndipo unapotoa nafasi kwa wapinzani wako kukukaba na kukukabili”- Mchambuzi wa soka, @akingamkono akieleza maoni yake kutokana na kiwango cha Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa jana Aprili 9,2026 dhidi ya TRA United na kumalizika kwa suluhu.
Kingamkono amesema kama timu hiyo inatamani kuendelea kufanya vizuri inapaswa kutulia na kucheza mechi zake bila presha.
Imeandaliwa na Katherini Shirima
Mhariri | @rajjmsangi
#Viwanjani
(Feed generated with FetchRSS)