CRDB BANK FEDERATION CUP: Hatua ya 16 bora inaanza rasmi Aprili 10, 2026 kwa mechi mbili, mojawapo ikiwa ni JKT Tanzania dhidi ya Mbuni FC.
Kuelekea mchezo huo makocha wa timu zote mbili wanasema maandalizi yao yako vizuri na vikosi viko tayari kuisaka tiketi ya kuingia robo fainali.
Kocha wa Mbuni FC, Leonard Budeba anasema wanajua JKT ni timu nzuri lakini wanataka kuiheshimisha ligi ya Championship kwa kuitoa nishai timu ya ligi kuu.
Mechi hii ni saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
✍️ @amosimasokotz
#CRDBBankFederationCup #JKTTanzania #MbuniFC
(Feed generated with FetchRSS)