Mawasiliano ya barabara kuanzia kona ya Kayenze kuelekea shule maalum ya sekondari ya bweni ya wasichana “Mwanza Girls” iliyopo wilayani Magu mkoani Mwanza, yapo hatarini kukatika kutokana na ubovu wa barabara.

#kilichoborakabisa

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *