Fedha ni jasho la mtu, lakini kwa baadhi ya wananchi, jasho hilo huisha bila mafanikio kutokana na watu Wengi kuendelea kutembea na fedha mifukoni au kuzichimbia majumbani wakiamini ni salama, bila kujua kuwa panapo mali, ndipo palipo na mwizi.
Japhet Dismas Mmoja wa wafanyabiashara anasimulia kwa uchungu jinsi alivyopoteza mapato ya siku nzima kutokana na tukio la kuibiwa fedha zake.
Changamoto ya umbali wa huduma za kifedha imekuwa kikwazo kwa baadhi ya maeneo kama anavyoeleza Khalid Mkunyegele, Mwenyekiti wa Soko la Chief Kingalu mkoani Morogoro.
Janeth Shango, Meneja wa NMB Kanda ya Kati, anabainisha mpango wa kutatua adha hiyo kwa kuanzisha bank inayotembea ili kuwafikia watu wengi
Penye nia pana njia Kupitia mpango huo wananchi wameutaja kuwa mkombozi dhidi ya upotevu wa fedha unaotokana na wizi au uhifadhi usio sahihi.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *