Mufti wa Tanzania Dkt.Abubakar Zuber Bin Ally amesema kuwa Tume ya uchunguzi wa vurugu za wakati na baada ya uchaguzi mkuu Ana uhakika kuwa Tume hiyo inaweza kufanya kazi nzuri na kuleta umoja wa kitaifa.
Mufti amebainisha hayo hii leo na kueleleza kuwa kuundwa kwa Tume hiyo lilikuwa moja ya Jambo kubwa ambalo litaenda kuponya taifa kutokana na Yale yaliyotokea
Amebainisha kuwa Tanzania Ina uwezo mkubwa wa kumaliza changamoto zake yenyewe na imekuwa ikifanya hivyo kwa miaka mingi.
#kilichoborakabisa
(Feed generated with FetchRSS)