kupitia CRDB FOUNDATION na mradi wake wa Imbeju, imetoa mikopo yenye thamani ya shilling billion 1.13 kwa wanawake wajasiriamali wa mkoa wa dodoma, ikiwa ni utekelezaji wa utoaji mikopo ya asilimia kumi ya mapato ya ndani ya halmashauri husika.
(Feed generated with FetchRSS)