Watanzania wamekumbushwa kuwa pamoja na kufanikisha lengo la mahsusi la kuliponya taifa, uwepo wa tume ya kitaifa ya uchunguzi wa matukio ya wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29 ni uthibitisho kuwa Tanzania ina uwezo kushughulikia masuala yake ya ndani.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *