Aprili 24, katika Ukumbi wa EACLC utakuwa Usiku wa Kisasi, mapambano 11 kupigwa mikanda mine kugombaniwa katika Ulingo mmoja.

Pambano Kuu ni Ibrahim Mafia dhidi ya Alvin Camique kutoka Philippines.
Usiku huu wa Kisasi utaruka mbashara kupitia AzamSports3HD, kuanzia saa 12:00 jioni.

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama Vitasa hivi.

#MafiaBoxing #VitasaNight #Azamtvsports

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *