Wadau wa nishati safi wamewatoa wasiwasi watanzania kuhusu gharama za nishati safi ya kupikia kuwa Serikali imeweka ruzuku kwenye mnyororo mzima wa upatikanaji wa nishati hiyo ikiwemo ikiwemo majiko na nishati yenyewe inayoenda sambamba na teknolojia
Wakizungumza na channel Ten wakati wa kishiriki maonesho kwenye kongamano la mama na baba lishe kitaifa jijini Dar Es Salaam wamesema elimu zaidi inahitajika kwa watumiaji wakiwemo mama na baba lishe ili kubadili mtazamo wao kuwa nishati safi ina gharama kuliko Mkaa na Kuni.
(Feed generated with FetchRSS)