Wizara ya Katiba na Sheria kupitia Programu yake ya Sema na Waziri, imeweza kupokea malalamiko 67 ya Kisheria, ambapo kati ya hayo, malalamiko 38 sawa na asilimia 56.7 yamepatiwa ufumbuzi, huku malalamiko 29 sawa na asilimia 43.3, yakiendelea kufanyiwa kazi.
(Feed generated with FetchRSS)