Usiku wa Vitasa Aprili 24, 2026.
Moja ya pambano litakalopigwa katika ya Vita Kisasi ni Mchanja Yohana dhidi ya Eric Korley kutoka Ghana.
Hizi hapa Takwimu zao
Usiku wa Vita ya Kisasi utaruka mbashara kupitia AzamSports3HD, kuanzia saa 12:00 jioni.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama Vitasa hivi.
#MafiaBoxing #VitasaNight #Azamtvsports

(Feed generated with FetchRSS)