VIWANJANI: “Mimi sitashangaa Azam wakiendelea na wachezaji walewale ambao wamecheza katika mechi ya kwanza”, @lilianmukulu_ akitoa maoni yake kuhusu mchezo wa nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Muungano kati ya Yanga SC dhidi ya Azam FC.

Mechi hii itachezwa kesho Aprili 25, kuanzia saa 2:15 usiku na kuruka mubashara kupitia AzamSports1HD.

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.

Mwandishi Katherini Shirima
Mhariri: @rajjmsangi

#MuunganoCup #Azamtvsports

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *