VITA YA KISASI:
Katika Vitasa leo mtangazaji wa Lugha ya Kiingereza ni Jimmy Kabwe na mchambuzi ni Philip Kitungu
Mapambano 11, mikanda minne kupiganiwa.
Vitasa hivi vitaruka mbashara kupitia AzamSports3HD kuanzia saa 12:00 jioni.
#VitasaNight #Azamtvsports

(Feed generated with FetchRSS)