Kufuatia kuongezeka kwa matukio ya mauaji ya maafisa usafirishaji na uporaji wa pikipiki katika kipindi cha miezi mitatu katika eneo la Miembe Mingi mtaa wa usule Kata ya Mbugani Manispaa ya Tabora mkoani Tabora, Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani humo imefika katika eneo hilo na kuongoza zoezi la kufyeka msitu unaodaiwa kutumiwa na wahalifu kujificha nyakati za usiku na kisha kutekeleza uhalifu.
@deilahmomo
(Feed generated with FetchRSS)