Zaidi ya mahujaji 1,500 kutoka hapa nchini wanatarajiwa kusafiri kuelekea miji mitakatifu ya Mecca na Medina, nchini Saudi Arabia, kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hijja mwaka huu 2026.

Kwa sasa, mahujaji hao wanaendelea kuhudhuria semina maalum za maandalizi zinazolenga kuwajengea uelewa wa kina kuhusu namna sahihi ya kutekeleza ibada hiyo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *