Iran imetuma pendekezo jipya la mazungumzo na Marekani kupitia mpatanishi wake Pakistan, hatua inayoweza kufungua njia ya kupunguza au kumaliza mvutano wa vita kati ya mataifa hayo mawili.
Kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Iran (IRNA), pendekezo hilo limewasilishwa huku kukiwa na juhudi za kidiplomasia zinazoendelea baada ya mazungumzo ya awali kukwama.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)