Kuanzia leo, Mei Mosi, nauli mpya za mabasi zimeanza kutumika rasmi kufuatia uamuzi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA).

Upendo Michael amefuatilia ongezeko hilo la nauli pamoja na namna ambavyo wananchi wamepokea mabadiliko hayo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *