Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima amewataka waajiri wa mashirika na Taasisi mbalimbali kuwasikiliza wafanyakazi wanapokuwa na changamoto badala ya kuwahukumu na kuwafokea moja kwa moja kutoka na changamoto walizo nazo

Ameyasema hayo wakati akihutubia katika maadhimisho ya kilele cha sikukuu ya Mei Mosi iliyofanyika wilani Gailo Mkoani Morogoro, ambapo iliudhuliwa na wafanyakazi wa Halmshauri mbalimbali Pamoja na Taasisi zinazojihusisha na usimamizi wa haki za wafanyakazi wa nyumbani ikiwemo Taasisi ya Domestic Work is real Work

Aidha Beltila Mligo ambaye ni Mfaiatiliaji wa Miradi ameeleza na kuiomba serikali kuhusu Mkataba namba 189, na kuelezea namna ambavyo wafanykazi wa nyumbani wanapewa kipaumbele katika elimu na namna ya kujenga thamani na heshima kwa kazi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *