Samaki aina ya jodari, maarufu kama tuna, ni kitoweo chenye thamani kubwa kiuchumi na kiafya katika maeneo mengi duniani, huku biashara yake ikiendelea kuwa tegemeo muhimu kwa wavuvi, wachuuzi na wasindikaji.

Ikiwa leo dunia inaadhimisha siku ya samaki aina ya Jodari, mwandishi wetu John Kasembe amekutana na wadau wanaobainisha mchango wa samaki huyo katika kukuza kipato na kuboresha afya za walaji.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *