Iran imesema kuna uwezekano wa vita kati yake na Marekani na Israel kuanza tena, huku ikisisitiza kuwa iko tayari kikamilifu kwa mapambano na kuchukua hatua mpya.
Wakati Iran ikitoa kauli hiyo, Rais wa Marekani Donald Trump ameonesha kutoridhishwa na pendekezo la hivi karibuni la amani, akidai Iran imeleta mapendekezo ambayo hawezi kukubaliana nayo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)