Leo dunia inaadhimisha siku ya nywila ‘password’ ikiwa ni kumbukizi na jukwaa la kutoa elimu kuhusu umuhimu wa nywila kwa ajili ya kulinda taarifa muhimu binafsi na za umma ambazo zinaweza kufikiwa kupitia kifaa chako au akaunti yako.
Hapa mtaalamu wa usalama mtandaoni na teknolojia za usalama na uchunguzi, Yusuph Kileo anatupatia maarifa kuhusu siku hii na namna ya kutengeneza nywila isiyo rahisi kutabirika.
Wahariri @moseskwindi na @rajjmsangi
(Feed generated with FetchRSS)