TRA UNITED vs AZAM FC: “Ndio timu kubwa na bora barani Afrika”
Afisa Habari wa TRA United, Christina Mwagala anasema Azam FC imelipa kodi kwa hiyari.
Ni baada ya kufungwa kwa jumla ya magoli 4-1 dhidi ya TRA United, leo Mei 8, 2026.
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#TRAUnited #AzamFC
(Feed generated with FetchRSS)