YANGA vs COASTAL UNION: “Kocha tulikuwa hatumuelewi”
Mashabiki wa Yanga wanasema hawana hofu baada ya kuondoshwa kwa aliyekuwa kocha mkuu, Pedro Goncalves kwasababu walikuwa hawamuelewi hasa kwa upande wa mabadiliko.
Yanga itaikaribisha Coastal Union katika dimba la KMC Complex, Mwenge.

Mechi hiyo itapigwa kesho Jumamosi Mei 9, 2026, saa 12:30 jioni na itakuwa LIVE #AzamSports1HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#NBCPL #Yanga #CoastalUnion

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *