Mbunge wa Segerea Agnesta Lambert Kaiza ameikumbusha Serikali kuhusu malipo ya fidia ya zaidi ya shilingi bilioni 104 kwa wananchi wa Kipunguni waliopisha eneo la uwanja wa ndege akieleza kuwa wananchi hao bado hawajalipwa licha ya kusubiri kwa takribani miaka 29 tangu walipoathiriwa na upanuzi wa eneo hilo.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *