Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi, Dkt. Moses Kusiluka bodi hiyo imevunjwa leo tarehe 14 Mei, 2026.
#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)