Kinachoweza kuonekana kama uchafu leo kimegeuka kuwa chanzo cha ajira, kipato na matumaini mapya kwa jamii inayojitahidi kuboresha usafi wa mazingira.

Fikiria taka unazozitupa kila siku sasa zimeanza kubadilishwa kuwa rasilimali muhimu, zikichochea mapinduzi ya utunzaji wa mazingira kisiwani Unguja – Zanzibar, huku zikizalisha fursa za kiuchumi kwa wananchi na kuimarisha juhudi za kulinda mazingira.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *