#HABARI:Mfanyabiashara na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fredy Ngajiro maarufu (Vunjabei), ameungana na makada wengine wa chama hicho kumuunga mkono Emmanuela Mtatifikolo katika Uchaguzi Mdogo wa marudio wa Jimbo la Isimani.
Akizungumza katika Ofisi za CCM Wilaya ya Iringa Vijijini, Fredy amesema anaheshimu maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM na anatambua uwezo wa Mtatifikolo, hivyo ameamua kumuunga mkono katika kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi huo mdogo.
Uchaguzi huo unafanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, William Lukuvi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
(Feed generated with FetchRSS)